WENYELE JF-Expert Member Apr 2, 2012 1,426 1,431 Apr 13, 2017 #1 Ana D masomo yote ya sayansi halafu ana C mbili masomo ya art.Nipe jina la chuo au shule ya sekondary form five inayoweza kumchukua,iwe ya bei nafuu
Ana D masomo yote ya sayansi halafu ana C mbili masomo ya art.Nipe jina la chuo au shule ya sekondary form five inayoweza kumchukua,iwe ya bei nafuu