Binafsi mkuuYa binafsi au ya serikali?
Roneca high schoolWasalaam waungwana wenzangu! Natafuta shule ya wasichana pekee yenye ufaulu unaoridhisha katika mchepuo wa EGM (Economics, Geography & Maths). Kwa mwenye kufahamu naomba nisadie jina la shule. Nawasilisha
Alliance Girls iko Mwanza mjini, wilaya ya Nyamagana, kata ya MahinaBinafsi mkuu
Asante sana, ila naitafta kwenye "ACSEE 2016 results" siioni, check jina kama liko sawaRoneca high school
Asante sana. Matokeo yao mazuri sana. Nitafuatilia taarifa za ziadaAlliance Girls iko Mwanza mjini, wilaya ya Nyamagana, kata ya Mahina
namba za Mkurugenzi wake ni hizi hapa: 0753 57 90 32Asante sana. Matokeo yao mazuri sana. Nitafuatilia taarifa za ziada
Mhhh...jibu la hili swali linasaidia lolote kweli? Hata hivyo jibu ni HAPANA, mimi vidato hivyo nimevipita kitambo.Unatafuta kwa ajili yako au mtu mwingine?
Ubarikiwe sana.namba za Mkurugenzi wake ni hizi hapa: 0753 57 90 32
Pia huyo mkurugenzi ndie Meya wa Jiji la Mwanza Bwana Bwire kama ushamsikia.Ubarikiwe sana.
Pia huyo mkurugenzi ndie Meya wa Jiji la Mwanza Bwana Bwire kama ushamsikia.
Jamani, hahahahahaahaha, yaani umechoka wewe msomaji hhahahahahahahahInatosha bhaana. watawasiliana kaiona no tayari
Jamani, hahahahahaahaha, yaani umechoka wewe msomaji hhahahahahahahah