Natafuta shule ya private nzuri maeneo ya Gongolamboto/Chanika

Jituoriginal

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
350
31
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika.

Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na usafiri wa kumchukua nyumbani na kumrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto na kuwaacha wabebwe na pikipiki..

Na shule iwe na record nzuri ya kufaulisha ...ada na matumizi yote isizidi 3m kwa mwaka.
 
Mlete Mtuki Highland, shule mpya ambayo inafanya vizuri ktk Klasta ya Chanika. Shule ipo Buyuni-Taliani.Ina mazingira mazuri, usafir wa uhakika na mtoto anafatwa nyumbani. Piga 0621 266 340.
 
Jaribu pia kutembelea Green Hill Primary School. Wapo usawa was Pugu Kajiungeni maeneo ya kirumba . Secondary pia ipo jirani maeneo hayo.
 

Mkuu ulipata shule..??
Nataka nijue maana na mimi nahamia buyuni next month nahitaji shule yenye sifa kama ulizozisema. Nijibu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…