Natafuta shule ya Private Advnced level yenye combination ya CBG

Natafuta shule ya Private Advnced level yenye combination ya CBG

wakweetusana

Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Wanajamvi habari zenu,

Natafuta shule ya Private ya Advanced Level yenye combination ya CBG kwa Ada ya chini ya Milioni moja na nusu.

Asanteni.
 
Meta secondary ya ccm wazazi na pandahill (mby)
 
Meta secondary ya ccm wazazi na pandahill (mby)
Pandahill nakuunga mkono ila meta unataka umpeleke chaka mtoto wa watu,

Mbaliz sec, wenda na lubala ni baadhi ya shule zinazokimbiza mbeya kwa sasa
 
Nisaidieni shule private inayolipa ada chini ya laki 8 hata iwe ya day yenye CBG Advanced level

Niliumia sana pale nilipopata 1 kali sana ya cbg a level na kutochaguliwa md pale muhas,ile hali rafiki zangu kibao walikua na one uchwara za pcb wakaingia muhas,malengo yako ni kusomea nn labda tuanzie hapo
 
Wanajamvi habari zenu,

Natafuta shule ya Private ya Advanced Level yenye combination ya CBG kwa Ada ya chini ya Milioni moja na nusu.

Asanteni.
Habari yako kijana,kama kweli unayo nia ya kupata shule bora na sio bora shule,unaweza kunitafuta kupitia no: 0656415981,ntakusaidia!!!
 
Back
Top Bottom