Natafuta shule ya kufundisha, chemistry na biology, nina bachelor degree

Norbert Cheyi

Member
Jun 11, 2017
86
43
Mimi ni kijana mwenye umuri wa miaka 18 ndoo namalizia bachelor degree ye BSc(education) UDSM mwezi wa sita mwaka huu, 2017 ..kwa masomo ya :Chemistry na Biology. Nlikuwa naomba mnisaidie nipate shule ya kufundisha nimalizapo chuo.

Atakaepata nafasi anitafute kwa 0762990097 ,mshahara wa Kwanza ntampa asilimia80 naa akinipeleka shuleni tu ntampatia laki Moja kama shukrani. Eneo lolote nafanya kazi na shule iwe Olevel au advance
 
Mimi ni kijana mwenye umuri wa miaka 18 ndoo namalizia bachelor degree ye BSc(education) UDSM mwezi wa sita mwaka huu, 2017 ..kwa masomo ya :Chemistry na Biology. Nlikuwa naomba mnisaidie nipate shule ya kufundisha nimalizapo chuo. Atakaepata nafasi anitafute kwa 0762990097 ,mshahara wa Kwanza ntampa asilimia80 naa akinipeleka shuleni tu ntampatia laki Moja kama shukrani. Eneo lolote nafanya kazi na shule iwe Olevel au advance
Fanya hivi, kuwa kama msomi, rusha application kwenye shule za binafsi, hasa zenye majina mazuri ya ufundishaji kama Marian, feza, Rosmini, Kaizilege etc. That way utafanikiwa. achana na mambo ya asilimia 80 please.
 
Mimi ni kijana mwenye umuri wa miaka 18 ndoo namalizia bachelor degree ye BSc(education) UDSM mwezi wa sita mwaka huu, 2017 ..kwa masomo ya :Chemistry na Biology. Nlikuwa naomba mnisaidie nipate shule ya kufundisha nimalizapo chuo. Atakaepata nafasi anitafute kwa 0762990097 ,mshahara wa Kwanza ntampa asilimia80 naa akinipeleka shuleni tu ntampatia laki Moja kama shukrani. Eneo lolote nafanya kazi na shule iwe Olevel au advance
Umeanza shule na miaka mingapi ? Tuanzie hapo kwanza
 
18?!!!!!!!!
giphy.gif
 
Mimi ni kijana mwenye umuri wa miaka 18 ndoo namalizia bachelor degree ye BSc(education) UDSM mwezi wa sita mwaka huu, 2017 ..kwa masomo ya :Chemistry na Biology. Nlikuwa naomba mnisaidie nipate shule ya kufundisha nimalizapo chuo. Atakaepata nafasi anitafute kwa 0762990097 ,mshahara wa Kwanza ntampa asilimia80 naa akinipeleka shuleni tu ntampatia laki Moja kama shukrani. Eneo lolote nafanya kazi na shule iwe Olevel au advance
Miaka 18 kutoa miaka mitatu ya chuo ni miaka 15 miaka 15 kutoa miaka 6 ya Secondary 'A' Level na 'O' level inabaki miaka 9 ukitoa miaka 7 ya shule ya Msingi inabaki miaka 2 na ukitoa miaka 3 ya chekechea inabaki Miaka -1. Kwa uchambuzi huu inaonyesha kama uliwahi kusoma chekechea ulianza ukiwa tumboni mwa mama yako na kama hukubahatika kusoma chekechea ulianza shule ya msingi ukiwa na umri wa miaka miwili. Ulipo andika Umuri nimehisi umemaanisha 'Umri'.
 
Bachera digirii you do not deserve to be a teacher may be a region comissioner
Gud

Hapa kazi tu!

Ondoa wazo la kuajiliwa, huku mtaani degree zimejaa

iyo laki ya kumpa atakayekupeleka shule kafugie kuku au ongeza kidogo uingie shamba kulima tikiti
 
Kwa miaka 18! Hata kufundisha cjui kama utaweza kuwalea watoto kiroho na kimwili, kwa umri huo kukabidhiwa wanafunzi ni kujilipua tu, bado uko kwenye foolish age unatakiwa bado uwe chini ya uangalizi.
 
miaka 18. upo mwaka wa mwisho. sio kwa tanzania hii na ndalichako huyu
 
Back
Top Bottom