Natafuta shule ya kufundisha, chemistry na biology, nina bachelor degree

Kwa miaka 18! Hata kufundisha cjui kama utaweza kuwalea watoto kiroho na kimwili, kwa umri huo kukabidhiwa wanafunzi ni kujilipua tu, bado uko kwenye foolish age unatakiwa bado uwe chini ya uangalizi.
typing error Nina 25 years
 
Huna bachelor degree

Unaweza ukadisco au ukafa ukiwa form six leaver
 
Unamaliza degree una miaka 18 ?????


Tupe history yako ya kishule

Atakaye kufanyia mpango utampa 80% ya msharaha Wa kwanza

Akikupeleka hapo shuleni utampa 100,000

Naishia hapa kwanza tarudi baadae
 
Back
Top Bottom