Natafuta shule nikafundishe Jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta shule nikafundishe Jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mamkey, Jul 16, 2012.

 1. m

  mamkey Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni msichana ninaependa kujituma na ninaelimu ya chuo niko tayari na ninauwezo wa kufundisha masomo ya arts naishi Dar es salaam. pliz msaad ktk hili
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Una degree ya nin?
   
 3. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  amesema anaelimu ya chuo sio lazima iwe degree
   
 4. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uzoefu wako huko nyuma!
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Sasa si ungesomea ualimu tu mkuu.
   
 6. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 803
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umeulizwa? au ndio tujue unafahamu sana mambo?
   
 7. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 803
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha utoto wewe mwenzio yupo serious wewe unaleta mambo ya kihuni.
   
 8. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  povu la nini sasa hapo..?wewe ndo mwenye thread...?nenda face book huku atutafuti umaarufu!!!
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  pilipili uso ila, yakuwashia nini? Na wewe umetumwa na mwenye thread umuulizie? Punguza kimbelefront...
   
 10. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umesomea Education au umesoma masomo ya kawaida unataka kufundisha?

  Lakini mbona walimu wanatakiwa sana mkuu
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,045
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ajira ziko nje nje kwenye fani hii.
   
 12. m

  mamkey Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Degree ya sociology nimetafuta kazi nmechoka kwakuwa najua naweza fundisha nataka
   
 13. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa nini usiombe kazi ya udaktari?Ina maana ualimu kada ya watu walioshindwa kupata ajira katika sekta nyingine!
   
 14. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 754
  Trophy Points: 280
  jaribu kufanya application shule za nje ya jiji kidogo, anza na english medium ukifuatia secondary pamoja na vyuo vya ualimu, ..hupaswi kuchoka ikiwa hujapata unachotaka....Muombe Mungu ktk kila jambo
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,716
  Likes Received: 1,660
  Trophy Points: 280
  Washauri wengi makanjanja
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  umeona eeeh
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  unaitaka kwa ajiri ya nini?
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,097
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  .  Jamani, mtu kasoma sociology wewe unataka aombe kazi ya udaktari!!?

  Kuna watu wa fani nyingi tu wametafuta kazi za kuajiriwa walipokosa wakaamua kufanya shuguli zingine ikiwemo ualimu!!

  Ualimu unaonekana una nafasi nyingi kutokana na uwepo wa shule nyingi kwa sasa nchini kwani ongezeko la

  watoto/vijana limekuwa kubwa na wengi wanataka kusoma!!


  Mamkey,

  Kwa field yako unauwezekano mkubwa wakupata kazi kwani watu wengi waliosoma sociology wanaupeo na uwezo wa

  kujichanganya na kueleweka kwa watu wengi....

  Tafuta shule za private, we uliza usingalie wala usijali waajiri wataokukatisha tamaa!!

  Nakwambia utafanikiwa tu, kama uka dar utasota kidogo... lakini shule za fundisha zipo.

  .
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Wakati mnaambiwa msome education mlikua mnadharau,leo ndo mnajifanya kuililia kuwa walimu?
   
 20. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,485
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  nenda wizara ya elimu na vyeti vyako vyote original then utawelezea dhumuni lako,watakupangia shule ya kufundisha,kuna rafiki yng alisoma sua nae alihangaika hivyohvyo kupata kazi ila alivyofanya hivyo tu akabahatika akapewa shule,kila la kheri dada
   
Loading...