Hyo bajet yko unakaa boarding,,,Laki tisa hiyo ni boding au day
ni kweli kabisa,Rosmini wapo poa sana hata matokeo kimatokeoNenda Rosmini iko poa sana
Nakushauri nenda Rosmini hutojutaKuna rosmin, arafah, alkheir, popatlal, ecerdford, coastal, ila coastal ipo vzur angaliaa ata matokeo yke ya mwaka huu na mwak jan....
Exactly nina uzoefu na Tanga shule ya pekee kwa A level yenye effort ni rosmini hizo costal au eckenford zipo kati sana ya mji kitu ambacho sio familar kwa masomo, Kwa government school ni Tanga school na Usagarani kweli kabisa,Rosmini wapo poa sana hata matokeo kimatokeo