Natafuta short course ya Web Design and Management

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
34
Nipo Dar, natafuta kozi ya muda mfupi ya web design and management. Hiyo kozi iwe inatolewa jioni baada ya muda wa kazi. Pia itakuwa vizuri endapo eneo la kufundishia linakuwa ni posta, maana nafanyia kazi huko. Kwa yeyote anayefahamu, pamoja na gharama zake, anifahamishe
 
Unaweza kusoma website designing and management at home. huhitaji hata kuhudhuria hizo evening classes.
Niambie unataka kujifunza kwa kiwango gani?

- Being a webmaster who can do both graphical and coding (HTML, PHP and MySQL)?
- or graphical tool user, who can design and upload websites using graphical software without need to know coding?

Nipe uchaguzi wako, twende next step. ninazo IT video training courses zitazokuwezesha kusoma chochote utakacho nyumbani tu.
 
Ahsante mkuu, nahitaji designing and uploading websites. Nadhani utakuwa msaada mkubwa kwangu
 
Unaweza kusoma website designing and management at home. huhitaji hata kuhudhuria hizo evening classes.
Niambie unataka kujifunza kwa kiwango gani?

- Being a webmaster who can do both graphical and coding (HTML, PHP and MySQL)?
- or graphical tool user, who can design and upload websites using graphical software without need to know coding?

Nipe uchaguzi wako, twende next step. ninazo IT video training courses zitazokuwezesha kusoma chochote utakacho nyumbani tu.

aiseeeeeeeee umenivutia kwa hiyo hizo kitu za IT Tutorial zina nini na nini unaweza elezea vizuri na shs ngapi kwa unauza najua hakunaga bure
 
Hey,
I am an Early Childhood Education specialist. I need to introduce you people to the world of preparing a world of tomorrow. you can from now own start the journey with me.
 
Mzalendo wetu na syendeke. Mnaweza kusoma website designing course kwa bei rahisi ya sh 10,000 kwa kila video training pack moja. Ili kukamilisha kozi yenu mnahitaji training packs tatu. Ya kwanza mjue basic HTML - Hii ndio msingi wa web designing ila designing

Ya pili ni namna ya kutumia simple graphical application, na ya tatu ni matumizi ya FTP client software ili ku upload website online

Anzeni na hii HTML mnaweza download trial training video pack toka kwenye website yangu. Then after nijulisheni ikiwa mko tayari mtanilipa kwa ajili ya course ya kwanza 10,000 na nitawapa complete video pack

Download HTML video training trial hapa
www.alphonce.net | ICT Video training courses
 
Back
Top Bottom