Kwa kikwetu ni aina ya ndege,tunaita "lishore" au "shore",...kwa koo zingine kwenye kabira letu wanaita "kirindo"!
Ni ndege asie na mkia mrefu,anaruka umbali mdogo sana so ni rahisi kumkimbiza na uka mkamata!
Ni mtamu sana,ila sijui yoyo alimaanisha nini