Natafuta shamba

Natafuta shamba

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Natafuta shamba lilio karibu na mto maeneo ya mkuranga, vikindu, bagamoyo au mlandizi.

Heka 5 mpaka 10.
 
Me ninalo hekari 5 ,Milioni 8 if you are interested
 
Nauza shamba langu mwenyewe mkoa wa Pwani zipo eka 13 bei 300,000/=kwa eka karibuni.0657257509
 
  • Thanks
Reactions: wax
Kama unataka mashamba yapo kilimahewa mkuranga, mm nimenunua ya kutosha eka laki 5 tu, yapo yaliyo karibu na maji na yapo yalimbali na maji, unalima mazao yote unayoyajua ya ukanda wa pwani kama embe, tikiti, mihogo, migomba, papai etc. Wewe tu.

Umbali ni km 2~3 na barabara ya uhakika mwaka mzima. Karibu tulime na tufuge vijana, shamba ni hazina
 
Contact za muuzaji, au yanapatikana vipi
 
Kama unataka mashamba yapo kilimahewa mkuranga, mm nimenunua ya kutosha eka laki 5 tu, yapo yaliyo karibu na maji na yapo yalimbali na maji, unalima mazao yote unayoyajua ya ukanda wa pwani kama embe, tikiti, mihogo, migomba, papai etc. Wewe tu.

Umbali ni km 2~3 na barabara ya uhakika mwaka mzima. Karibu tulime na tufuge vijana, shamba ni hazina
Chanzo cha hayo ni Maji ni nini?? Mto, ziwa, bwawa, Kisima, au??
Na Huo umbali ni kutoka wapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom