Wadau natafuta shamba/pori la kununua mkoani Morogoro hasa katika maeneo ya Mikese,Dumila,Kilosa,Mvomero au Dakawa,liwe linafaa kwa kilimo cha mpunga/liwe eneo linalowezekana kufanya kilimo cha umwagiliaji
Mkuu jaribu maeneo ya pale mikese. Ukishuka pale mizani jaribu kufanya upelelezi kwa kuwaulizia wale vijana waendesha bodaboda, wao wanajuana na wamiliki wengi na maeneo mengi pia.

Nenda pale Mikese mbele kidogo ya mizani kama unatokea Dar. Pale wanapouza nyanya etc. Ulizia either of these people - Mwega au Mohammed Mzee. Hawa watu watakusaidia kupata shamba.