Salamu kwa Wadau. Naomba kama kuna m2 anafaham au anaweza kunsaidia kupata shamba maeneo ya Kibiti kwa bei rahisi. Natafuta just hekari moja tu. Ingawa cjawahi kufika ila nmevutiwa na hali ya hewa ya huko manake naambiwa hali ya hewa ni nzuri. Lengo ni kutaka kuwa mjariamali na mkulima mdogo... Naomba msaada na mawazo, karibu.