Natafuta shamba la kupanda miti-Nzela,geita

proskaeur

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
1,588
Reaction score
4,950
Habari wanajamvi…''!!

kama kichwa cha habari kinavojieleza,, natafuta shamba kwa ajili ya upandaji wa miti, liwe maeneo ya Nzela, Geita au maeneo mengine ya karibu na huko,,

Bajeti niliyo nayo ni laki tano kwa ekari, so kama kuna mtu anayeuza mashamba maeneo tajwa hapo juu , naomba ani-PM tuongee biashara…''
Akhsanteni
 
Duh.. Kwanini ukanunue uko beinghali hivyo.. Nenda iringa mufindi..wanauza heka 100,000/= procedure zote na garama zakuotesha miti inakuwa jumla 485,000/=

Mm nimepata heka 5 kwa hiyo laki 5 unayotaka kununulia heka moja..
 
Mkuu, asante sana ,

Naomba nisaidie mawasiliano ya watu wa huko mafinga ili nipate kuongea nao kama naweza kupata eneo na mimi
 
Sorry, watu wa huko mufindi waliokuuzia
 
ingekua vyema kama ungenisaidia mawasiliano ya watu wa uko mufindi na mi nahitaji kununua mashamba ya nipande miti.
 
Mkuu, asante sana ,

Naomba nisaidie mawasiliano ya watu wa huko mafinga ili nipate kuongea nao kama naweza kupata eneo na mimi
60b8f8d494db760b5fe30de5b28a2b5a.jpg

Sorry for delay was out of jf kwa muda
 
ingekua vyema kama ungenisaidia mawasiliano ya watu wa uko mufindi na mi nahitaji kununua mashamba ya nipande miti.
Nicheki pm , mm nipo mwanza lakini kwetu in iringa na mm nipo kwenye mradi wa upandaji miti kijijini kwetu mashsamba unapata hadi kwa hamsini eka ,
Karibu
 
Kwa Iringa mashamba yanapatikana kwa gharama ndogo sana hadi shilingi elfu tisini kwa ekari ila tatizo la huko ni moto kila mwaka mashamba ya miti yanaungua. Kwa Geita au Sengerema panafaa sana kwa miti hakuna hofu ya moto vilevile kuna uhaba mkubwa wa mbao. Nakushauri nunua Geita bei ni kuanzia laki tatu hadi tano kwa ekari kutegemea na sehemu, achana kabisa na Iringa ingawa bei ni ndogo lakini utaingia gharama kubwa kuhudumia shamba vilevile hutakwepa hatari ya moto.
 
Nipo hapa Kakubilo Geita ila ninafahamiana na wenye mashamba wengi sana kuanzia vijiji vyote hivyo vya Nzera, Nyamboge, Njingami, Nyambaya, muharamba, Buligi, Katoma, Itale, Munyara Nkome, sungusila, igate, Idoselo, Rwezera, Nyamadoke, Kabhayole, Luhala, chanika, Kaseni, kagu, Senga, Nyawilimilwa, Bugulula, Kasota Nyamilyango, Bugalama, Mikolani, kishinda, Kamhanga, Isamilo, kote huko
 
Hayo maeneo, mashamba wanauzaje kwa ekari
 
Back
Top Bottom