wakuu nahitaji shamba la kununua liwe sehemu nzuri linalofaa kwa kilimo
wakuu nahitaji shamba la kununua liwe sehemu nzuri linalofaa kwa kilimo
weka no kiongozi, nauli bei gani toka hapa dar mpaka msanga me nahitaji mwishi wa mwezi huukama vp njoo zegero ni msanga ndani ndani eka 1 laki 5,nguvu yako tu.
mkurang lipo hekar mbili
Uko vikindu ni bei gani kwa gari toka pale buguruni, weka no za simu tunahitaji wengi
weka no kiongozi, nauli bei gani toka hapa dar mpaka msanga me nahitaji mwishi wa mwezi huu
Hekta 13 za shamba zinauzwa maeneo ya BWAMA (CHANIKA). Ardhi hii bado ni bikra. Bei ya hekta moja ni Tsh 1500000/- Kazi kwenu....
Mkuu hekta au heka samahani kidogo
Hekta 13 za shamba zinauzwa maeneo ya BWAMA (CHANIKA). Ardhi hii bado ni bikra. Bei ya hekta moja ni Tsh 800000/- Kazi kwenu....
wakuu nahitaji shamba la kununua liwe sehemu nzuri linalofaa kwa kilimo