Unatafuta lenye Wastani wa Ekari ngap?Bei gani?
Nina heka 3 morogoro maeneo nauza be yakawaida nilitaka kuanza kulima mwezi huu ila nimepata scholarship ya nenda masomoni nje.. Kama upo tayari nipigie 0714651666Mbili zinatoshaa
Tanga sehemu gani mkuu na bei yako inaendaje?lipo robo heka hapa Tanga karibu ukaribie P.M