Habri za jioni ninauza shamba lipo mkuranga lina heka17 lina kisima cha mita 80 kuna tanki LA Lita elf kumi kuna nyumba ya tofali ya viumba3 self konten na jiko Alf kuna nyumba nyingne ya udogo ya viumba2 umepigwa plasta safi na nyumba zote zina sala na shamba limefwekwa na kungolewa visiki vote na Limetandwazwa mabomba ya maji shamba lote na kuna na sehemu ya kulima mpunga maji ya bonde yapo mwaka mzima yn ukinunua na msimu huu unapanda kabisa mihogo na kulima kwa trekta n 40 tuu na ukipanda gari toka mbagala nauli n sh 2000 hakuna aja ya boda boda karibuni be ml 60 maongezi yapo
sijui unataka kulima nini na sijui kwanini umechagua Morogoro ila ningekuwa wewe ningeenda kununua NJOMBE.Mashamba mengi, mito ipo na mvua muda wote.Unaweza ukalima mazao mengi na hasa matunda.Nimekuwa huko siku za karibuni kuna fursa nyingi