BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Habari,
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kibaha (eka tano), sifa la shamba;
1. Liwe mbali na makazi ya watu (isiwe too much) kwakuwa nataka kufugia nguruwe
2. Liwe jirani na maji (either ukichimba pawe na maji au shamba liwe jirani na chanzo chochote kile cha maji)
3. Eneo hilo liwe na usalama, pasiwe na wezi wa mifugo.
Mwenye shamba tuwasiliane haraka sana. Asanteni