Natafuta Shamba la kukodisha

Ongeza Kwa 100,000/= nikukodishe Kigamboni mwasonga, kuna maji ya kutosha na ardhi nzuri
 
Yes Mimi niko nyuma ya kibiti, nikishalima vitunguu mara mbili na vinatoka vizuri sana
je una shamba la kukodisha??? bei gani kwa hekari moja??? je shamba lina kisima??? je kuna maji ya kutosha/mfereji.. coz kitunguu kinahitaji maji mengi ...
 
je una shamba la kukodisha??? bei gani kwa hekari moja??? je shamba lina kisima??? je kuna maji ya kutosha/mfereji.. coz kitunguu kinahitaji maji mengi ...
Hapana nina shamba langu, lina kisima ,pia Kwa ambao hawana visima wanachimba Kwa mkono tuu maji hayako mbali.
 
Sio shamba la kukodisha, sema unatafuta shamba la kukodi. Kiswahili kigumu nacho!!!
 
je una shamba la kukodisha??? bei gani kwa hekari moja??? je shamba lina kisima??? je kuna maji ya kutosha/mfereji.. coz kitunguu kinahitaji maji mengi ...
Sorry sikujibu kuhusu bei nilinunua mwaka juzi 500,000/= per acre barabara zake zinatengenezwa kila mara hivyo kipindi chote napita hata Kwa gari ndogo na kuhusu heka Nina heka 25
 
unaposema msimu mmoja unamaanisha muda gani maana kila zao lina muda wake wa kupandwa hadi kuvuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…