Alafu Dar es salaam !unataka shamba zuri kwa f 50?? Mkuu haupo serious
Mimi na kodisha si nunui mkuu .unataka shamba zuri kwa f 50?? Mkuu haupo serious
Hapa mjini wengi wana mashamba hawa ya endelezi bora umkodishe mtu kwa bei ndogo hawe anakusafishia
Unafikiri kununua ndio itaongelewa elfu 50 au laki?, bado kwenye point hapo hapo ya kukodi huwa gharama kwa sasa inaanzia laki
Kama ungekuwa unataka Morogoro maeneo ya mikese ningekupa kiasi unachotakaHabari wana jamii forum , kama kichwa cha habari kinavyo jiheleza hapo juu natafuta shamba la kukodisha liwe maeneo yanayo weza kufikika kwa huraisi ndani ya jiji la Dar es salaam, sana sana kigamboni . Hali ya shamba liwe linafaa kwa kilimo cha mboga mboga , bei isidhidi Tsh 50,000/= kwa msimu mmoja . Kwa mawasiliano zaidi ni PM tuweze kufanya biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si bora ununue la kwako moja kwa moja karibu na dar,ukiitaji nicheki kwa laki mbili na nusu tu kwa ekari
Njoo pm mkuuUberimae Fidel, mie Nahitaji kununua tafadhali punguza bei tufanye biashara.
Elfu 50 la ukubwa wa 10*15metre labdaHabari wana jamii forum , kama kichwa cha habari kinavyo jiheleza hapo juu natafuta shamba la kukodisha liwe maeneo yanayo weza kufikika kwa huraisi ndani ya jiji la Dar es salaam, sana sana kigamboni . Hali ya shamba liwe linafaa kwa kilimo cha mboga mboga , bei isidhidi Tsh 50,000/= kwa msimu mmoja . Kwa mawasiliano zaidi ni PM tuweze kufanya biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikese sehemu gani kama ni karibu na Barabara nahitaji ekari 20Njoo pm mkuu
njoo kibiti maji ya kutosha udongo wa kichanga unakubali kila zao kwa msaada wa samadi 0620899604Mikese sehemu gani kama ni karibu na Barabara nahitaji ekari 20
vip kitunguu inakubali...😛njoo kibiti maji ya kutosha udongo wa kichanga unakubali kila zao kwa msaada wa samadi 0620899604
kitunguu hapanavip kitunguu inakubali...😛
Mimi sio Mikese mkuu,Chalinze na ruvu, ngoja nikuchek pmMikese sehemu gani kama ni karibu na Barabara nahitaji ekari 20