Natafuta Shamba la Ekari 1 Mapinga/Kerege

Natafuta Shamba la Ekari 1 Mapinga/Kerege

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Hello guys,

~ Natafuta shamba la ekari moja Mapinga au Kerege.

~ Budget yangu ni 1milion.
Niko Bunju.

~ Njoo PM kama una shamba tufanye mambo.
 
Nakusihi kwa saiti KUBWA.usijarbu kununua eneo wala KIWANJA. Ni hatere kwa afya ya pesa zako. Ni matapeli wakutupwa maeneo tajwa.
 
Nakusihi kwa saiti KUBWA.usijarbu kununua eneo wala KIWANJA. Ni hatere kwa afya ya pesa zako. Ni matapeli wakutupwa maeneo tajwa.
Embu niambie zaidi wana tapeli kwa style gani bro?
 
Hata kiwanja tu huwezi pata kwa pesa uliyonayo..! So be carefully na pesa yako
 
Ukipata shamba kwa bei hiyo maeneo tajwa uje nikupe 5M cash kwa eneo hilo hilo.

Sasa hivi hata Kiwangwa hupati kwa bei hiyo

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kwabei hiyo hamia mkuranga ama chalinze au kisarawe..

#MaendeleoHayanaChama
 
2M bagamoyo Fukoyose kama uko tayari PM ni heka 13.
 
Hapo ndio nyumbani kwa matapeli wa viwanja na mashamba, wakiungwa mkono na mwenyekiti wao wa serikali ya kijiji Bwana Mrisho. Fukayosi Kidomole miyeyusho sana
Ahahaahahha noma

Me nna Acres moja kijiji cha Mkenge sema nlinunua kwa kampuni za real estate sahv nafanyiwa mchakato wa Hati miliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom