G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 May 18, 2017 #1 Habari ndugu msomaji! Natafuta shamba la ekari moja hadi mbili maeneo ya kiluvya hadi kibaha. Ambaye atakuwa nalo au anajua mwenye nalo tafadhali tuwasiliane kwa PM au aweke details zake hapa. Asante na Mungu akubariki!
Habari ndugu msomaji! Natafuta shamba la ekari moja hadi mbili maeneo ya kiluvya hadi kibaha. Ambaye atakuwa nalo au anajua mwenye nalo tafadhali tuwasiliane kwa PM au aweke details zake hapa. Asante na Mungu akubariki!