mondichodiswala
Member
- Sep 27, 2015
- 20
- 7
Nataka kufanya hiki kilimo but nimepata changamoto ya kuipata eneo. Mi naish DSM nlienda kule Kimbiji Kijaka.. But nlishauriwa hakuna rutuba na kilimo ni challenge kidogo. Nikashauriwa niende Mwasonga. Near by dar zoo Uko Uko Kigamboni. But wenyeji wa kule hawakunipa ushirikiano wa kutosha.. Nmeenda ruvu darajani. But naambiwa kukodi shamba ni Laki 7 kwa Msimu.. Apo bado garama za uzalishaji.. Apo nkajua nadalaliwa.. Naomba
Ukiwa yupo ambae anaeza nisaidia nkapata japo eka mbili nianze hiki kilimo..
Ukiwa yupo ambae anaeza nisaidia nkapata japo eka mbili nianze hiki kilimo..