Natafuta Shamba Kiwangwa au Msata

Ni shamba! heka moja ni laki 8 zipo heka 30.
Kuna nini hapo shambani inachofanya eka moja kuuzwa shilingi laki 8 mkuu?
Nikimaanisha ni karibu na bonde, kuna maji ya uhakika karibu, barabara inafika shambani n.k.
 
Kuna nini hapo shambani inachofanya eka moja kuuzwa shilingi laki 8 mkuu?
Nikimaanisha ni karibu na bonde, kuna maji ya uhakika karibu, barabara inafika shambani n.k.
Mkuu barabara ipo karibu pia umeme umepita karibu. Hakuna bonde
 
Mwenye Shamba lenye miti mikubwa ekari nne maeneo ya kiwangwa au kama Lugoba/Msolwa(Ekari 1) lenye mawe meusi ni PM.
 
Wazo zuri mnoo
 
Me namshauri kama bado hajanunua aende kwa makampuni ya real estate asiogope gharama coz
Usalama ni wa asilimia kubwa kuliko kununua direct kwa watu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…