Nilipata broukiipata kwa hiyo ofa yako nijulishe nikupe ya nyongeza
Nataka kama hii nyingine wapendwa... cash ipo fastaView attachment 670063 Mwenye mashine ya kuuzia luku, kulipia maji, vifurushi, nk anitafute... nina ofa ya 200000 cash. Niko mail moja. Piga namba 0719 222 900
Thanks kwa ushauri... ingawa mimi nataka mashine yenyewe kuwa si mimi nitaitumiaKuna app ya selcom playstore ,naona ina-function vzr tu kama kwenye hyo machine japo sikuwahi kuitumia kufanya miamala niliishia kudownload na kuichek inavyofanya kazi