Weka picha
Uvumilivu ndiio unahitajika zaidi.professional yake nini au yupo tayari kwa kazi yeyote
ana degree ya procurement and logistics management na pia yuko tayari kwa kazi yoyote halali
Hata kazi za ndani???
mbona hampiti kutoa hata ushauri jamani
Hao ndugu zetu hata tukiwaeleza wasome coz za ualimu then hayo mambo mengne yafuate wanajifanya kujua sasa wanabaki kudharirishwa tu hapa jamii forum, sasa procurement na kazi za ndani wapi na wapi?.Wenzake walimu post zishatoka wanaenda kujitafunia vipapatio vya kuku.

ndio yuko tayari, ila anataka ya kuripoti saa moja asubuhi na kurudi saa moja jioni hayuko tayari kulala au kuishi kwa mwajiri wake
ofcoz ni challenge, its better to help her! god will see yu