Natafuta sehemu ya kufanya kazi ya kujitolea .

Angalia notification zako kuna uzi nimekutag nenda ukajaribu bahati yako achana na mambo yasiyokuwa na malipo maisha yenyewe magumu haya
...Kama umemuelekeza mchongo wa kazi well and good but usikatishe tamaa kujitolea coz mara nyingi mtu hakosi viposho vya hapa na pale, pia ana practice field yake na at the same time anafukuzia ajira.

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Hata hizo posho sasahivi hakuna ni kupambana tuu kupata hata ya mshahara mdogo wakati unaendelea kutafuta pazuri zaidi
 
...Nimeshasaidia watu kadhaaa kupata sehemu za kujitolea,ikiwemo Halmashauri zenye upungufu wa watumishi, na hawakujutia.
 
Okey sawa asanteh.

...Pia NGOs nyingi ukitaka kupata nafasi zao nenda kwa gia ya kujitolea, ila uwe tayari kupigika kwa kazi but ikitokea opportunity, ingawa utatakiwa uombe kama wengine, you stand better chance.
 
Ooh Okey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom