CompaQ JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 281 Reaction score 134 Oct 18, 2015 #1 Habarini wataalam. Nauliza ni maduka gani kwa arusha naweza pata screen ya Nokia Lumia 720. Kwa maduka ya arusha sababu simu yangu ilianguka ikapasuka screen yake hivyo nataka badilisha. Naomba mwenye kujua duka kwa arusha ani direct shukrani.
Habarini wataalam. Nauliza ni maduka gani kwa arusha naweza pata screen ya Nokia Lumia 720. Kwa maduka ya arusha sababu simu yangu ilianguka ikapasuka screen yake hivyo nataka badilisha. Naomba mwenye kujua duka kwa arusha ani direct shukrani.