Sam Jr official
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 119
- 107
Screen yangu hiyo imepasuka na Niko Dodoma,mwenye connection wapi naweza,tafadhali nisaidie
Ahsante sana mkuuWapigie hawa watakusaidia ni watu nafahamiana nao wanauza Laptop na accessories zingine watakusaidia 0754989235 wanaitwa Energetic Computers utawapata hata kwenye mitandao yao ya kijamii
Umefanikiwa????Ahsante sana mkuu