Kuna duka nlinunua mwaka jana dell screen liko kariakoo ukivuka shel ya bog bon yanakoingilia mabasi yanayotuka ubungo duka la kwanza au la pili. yangu ni inch 20 na ina tundu la kuingizia waya wa TV. so nkichomeka kingamuzi nakula TV. nenda hapo kama zipo