.[/QUOTE
Hivi huyo kwenye picha ndio tumaini lenyewe, kweli tunapotoshana
Hapo patamu yaani Prof Balegu na ujanja wake wote aliingizwa mkenge na nyama ya Ulimi ya Mh. Dr Kikwete. Prof alipaswa kisubli japo kipindi kimoja cha uongozi wa Jk ndipo aandike hki kitabu. Waswahili wanasema Ada ya mja kunena mwungwana ni vitendo.
What are the contents in the said Book????
Kama Watu wanataka kusoma vitabu basi wasome vya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere(RIP). Hivi mtu unategema kitabu kilichotungwa na Rais Kiwete kinaweza kweli kukupatia vision ya kusonga mbele kimaisha kwa maana ya kiuchumi na kielimu???Wewe uliyoanzisha thread hii pengine una nasaba na Kiwete au Riz1!
Kuna kichekesho kimoja kinasema hivi: Kuna siku moja watu watatu;Mmarekani,Mjerumani na Mtanzania walikutana mahali.Baada ya kukutan
pokea like mkuu natumia simu..