Mkuu,
Simu nzuri ziko dukani, hizi za mikononi utauziwa za wizi ambazo zimetokea kwenye matatizo ya ujambazi, mauaji au watu kuvunjiwa nyumba zao.
Utaingia kwenye matatizo na kupoteza direction ya Maisha.
Ni Ushauri tu, yamewakuta watu tena wameuziwa simu na ndugu zao wa Damu.