Yani hakuna usenge nisiiyoukubali kama malipo ya commission na inaonekana hamdumu na wafanya kaz kwasabab ya uendeshaj kandamiziHabari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) .
Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission.
Pia kampuni itakupatia nauli, chakula Cha mchana nk.
WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73.
Pia msisahau kumpatia supplier wako address yetu.
OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781
50 k unamaanisha kilogram? Ikiwa unamaanisha 50 kilogram, mzigo utakapokuja kuuchukua utalipia 1,512,000 Tsh na hakutokuwa na malipo ya ziada hii inajumuisha mpaka kodi,Naomba rough calculation za custom duty kwa mzigo wa 50K
500000Tsh sio Kilogram50 k unamaanisha kilogram? Ikiwa unamaanisha 50 kilogram, mzigo utakapokuja kuuchukua utalipia 1,512,000 Tsh na hakutokuwa na malipo ya ziada hii inajumuisha mpaka kodi,
Karibu sana boss
WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73
Habari za asubuhi boss wangu, Kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inatafuta sales person mmoja (female) .
Industry ni Air Cargo na malipo Huwa ni kwa Commission.
Pia kampuni itakupatia nauli, chakula Cha mchana nk.
WhatsApp/ Calls +255 755 18 48 73.
Pia msisahau kumpatia supplier wako address yetu.
OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781
Mnayo kweli kweli. Maana kama mnataka vipapiro vya bei cheee mtafute mbinu nyingine.Kwa mindset kama hizi! Vijana tuna safari ndefu sana
Hii huwa ina positive na negative side. Mkuu kwa sales mwenye experience na aliyejitengezea wateja huwezi amini anafaid sana kulipwa kwa commissionYani ni tafrani tupu unawaza kwanini
Mnawachukulia poa sana salesman wakati ndo watu wanawaletea vipato
Huu ni upuuzi mlipe mtu mshahara then udemand makubwa kutoka kwake
Unategemea mtu ataipenda vipi kazi yake kwa malipo ya commission badilikeni aise au vitengo vyote ofisin kwenu mnalipa kwa commission
😂😂😂😂😂Sasa sales kuzunguka uku na uku wapi na mwanamke sema mnatafuta malaya wa kumlala mtakavyo.....
Vikampuni uchwala vina mambo...