Natafuta roommate nchi Marekani

Ndani ya hiyo miezi 6 ukimtundika mimba je?
 
Kwann huyo mke wako ndio awe anaishi hapo na kufanya usafi unaousema?
 
Kwann huyo mke wako ndio awe anaishi hapo na kufanya usafi unaousema?

Sitafuti mtu wa kufanya usafi.

Ni wazo tu kwa vile mimi si mkaaji wa hapa kwasababu ya shughuli zingine, nilianza kukaribisha watu kuishi hapa kwa muda.

Mke ninae na tuna makazi sehemu tatu, so mke anaishi Tanzania kwasababu ya kibiashara. wakati mimi sipo home huyo mtu atakuwa anakaa home bila kulipia bills yeyote hata tukirudi, hatukah kwa muda mrefu.
 
Dah natamani hiyo nyumba ingekua china
 
Kwa kifupi unatafuta wa kugonga..
 
Hapo mkuuu umeeleweka
Maelezo yako ya kwanza yalikuwa na ukakasi

Ungeeleza vizuri sidhani kama kungekuwa na maswali

Inshallah
 
Yaani kushea nyumba, si uswahili huo...maisha gani yasio na uhuru hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…