Heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata ajari..bajeti yangu ni 7 m..0758 144803

Sijaulizia hizo mkuu,najua dau langu ni dogo kwa gari hyo bt weka kwa akili yko kua kuna watu wengn wanauza bidhaa zao kwa sababu ya matitizo labda ama mtu anashda ya hela ya haraka... so u never knw mkuu. naweza nkabahatisha.
heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata ajari..bajeti yangu ni 7 m..0758 144803
Ushauri wangu ongeza pesa upate gari nzuli ila kwa bei yako utapata ila jua ni umenunua matatizo. Ukifika hata 10 nicheki humu nikutumie hata picha ukague
Ushauri wangu ongeza pesa upate gari nzuli ila kwa bei yako utapata ila jua ni umenunua matatizo. Ukifika hata 10 nicheki humu nikutumie hata picha ukague
Lakini ukitulia Dar unaweza ukapata RAV4 Old Model kwa Mil. 8 tena ikiwa nzuri tu. Be patient baada ya X-Mas na Mwaka mpya utaziona tu. Juzi tu kuna jamaa alikuwa anauza RAV4 yake Old Model ambayo ameitumia kwa muda usiozidi miezi sita kwa Mil 8 ili atembee zake mbele.