Natafuta ramani ya nyumba

Natafuta ramani ya nyumba

wilbald

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2007
Posts
1,810
Reaction score
1,378
Wakuu habari za siku nyingi.
Jamani nilikuwa naomba mwenye ramani ya nyumba ya vyumba vinne na sebule anipatie.
Kama kuna mwenye nayo on soft copy ani PM then ntampa contact zangu.
Ntashukuru sana wakuu.
 
Unataka ramani ya bure au ya kununua? Pia unataka ramani ya nyumba ambayo itacost shilingi ngapi katika kujenga hiyo nyumba?
 
Contact on dc# 0684683006 he is qualified on house plans...
 
for your enquiries dial 0715 788 949
 
Thanks guys for your reply, i will check with you soon!
 
Back
Top Bottom