unataka nyumba ya kizungu ww mzungu?
unaweza kusihi kizungu
upo uzunguni
unayajua mahitaji ya kizungu mpka wanajenga nyumba ndogo
unaweza jenga hyo nyumba ya kizungu ila vitu vikawa out of place kuwa makini kama wazazi wako walitokea nyumba ya tembe na msonge ww dumisha mila usilete uzungu