maila majani
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 110
- 11
Ndg zangu, mi nimenunua baadhi ya vifaa vya music kama mixer, buster mic za wire les, lakini cna sehemu ya kuhifadhia vifaa hivyo, nimeambiwa kuna kifaa kinaitwa rake ndicho kinachotumika kuhifadhia music, hiyo rake wadau inauzwaje na inapatikana wapi?