Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Umepata nyota ya jahaa..~!!jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma, mahusiano etc. awe above 30 na asiwe mwanafunzi wa chuo. lengo langu hasa ni kushare life experiences ndo maana nahitaji mtu anayejitambua.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.
Hivi Mwanambuzi hata siku moja akikaa na chui boma moja lazima siku moja amtafune hata kama Mbuzi alikuwa mkubwa wakaleta kipaka cha chui kikikua kitaanza majaribio yakudandia shingoni siku nyingine kitamtafuna!Ipo siku huyo rafiki wako wakiume atakuzushia safari za mara kwa mara nazingine anazikwamisha makusudi ili mlale huko mnapata burudani hata kama si kunywa ila atakupa ushawishi ili ujae akulipue!Mwanaumme si rafiki wa mwanamke kamwe Learn from here!nina marafiki lakini mwanaume at the en of the day atataka papuchi tu my dear labda kama si lijali..... take my words mwanaume atazunguka na wewe miaka hata kumi mwisho wa siku anawaza lini anafunua chupi yako
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma, mahusiano etc. awe above 30 na asiwe mwanafunzi wa chuo. lengo langu hasa ni kushare life experiences ndo maana nahitaji mtu anayejitambua.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.
Hapana mimi ni mzazi hivyo napenda kuona mtu anafuata palipo nyooka kwani najua nini upendo hata mimi hutamani mtu kumpa upendo mnyoofu ambao upo chini ya moyo wangu hivyo kusema hivyo sikwa nia mbaya ni kwa nia njema ili baadae umpate umpendae kwani hapa nikama jangwani ukiweka nafaka zipepesuka na upepo hivyo siyo zote zitaangukia sehemu moja itategemea na spidi ya upepo! miss chagga nasema uongo?
Sema wewe mke mwenza....huwezi kuchat na mwanaume akakuacha hivi hivi labda awe mcha Mungu. Lazima atataka akufunue tu....hata kama hana hata chembe ya upendo juu yako atataka akuchungulie hata mara moja tu ndo anaridhika
Yamkini ulizunguka kutafuta rafiki muda mrefu, yamkini ilikuwa bado mda wake. Huu ni wakati sahihi kwa sababu umenipata mimi, mwenye mahitaji ya sawia na ya kwako!
kijana mdogo, handsome ila hana pesa; ni pm tuongee zaid
Hivi Mwanambuzi hata siku moja akikaa na chui boma moja lazima siku moja amtafune hata kama Mbuzi alikuwa mkubwa wakaleta kipaka cha chui kikikua kitaanza majaribio yakudandia shingoni siku nyingine kitamtafuna!Ipo siku huyo rafiki wako wakiume atakuzushia safari za mara kwa mara nazingine anazikwamisha makusudi ili mlale huko mnapata burudani hata kama si kunywa ila atakupa ushawishi ili ujae akulipue!Mwanaumme si rafiki wa mwanamke kamwe Learn from here!
wewe mwache ajui wanaume ... wamnaume lao papuchi atazunguka mwisho wa siku ni kufunua tu
Mimi nakubaliana na wewe kwa hilo hao marafiki ambao mnaweza kuwa wote wawili na mkaheshimiana sio hawa JF ninaowajua ikiitwa Jambo forum!na sasa ni Jamii forums hivyo ukikutana namtu mtaani mkazoena taratibu mnaweza mkawa marafiki lakini hapa mnadani natiashaka labda ningekuwa siwajui mimi KakaKiiza!nakutakia kila laheri mimi yangu ni hayo!Mwisho namuomba Jembe langu lije limwage material hapa lara 1si kweli ndugu yangu mimi nina marafiki wengi wa kiume na tunaheshimiana sana, tunapiga stori na kushare mambo mengi ya kimaisha na mwisho wa siku kila mtu anaendelea na mambo yake, sijui hii mitazamo mnaitoa wapi
nyie ndo hamjui wanaume kumbe, mwanaume ukimuweka wazi kipi unataka kipi hutaki na ukaweka your bounderies clear atakuheshimu sana na hawezi hata kukugusa, ni kwamba wanawake huwa tunawaza kuwa wanaume wanachowaza ni papuchi all the time which is not true. ukijilegeza lazima mwanaume akugonge tu
Mimi nakubaliana na wewe kwa hilo hao marafiki ambao mnaweza kuwa wote wawili na mkaheshimiana sio hawa JF ninaowajua ikiitwa Jambo forum!na sasa ni Jamii forums hivyo ukikutana namtu mtaani mkazoena taratibu mnaweza mkawa marafiki lakini hapa mnadani natiashaka labda ningekuwa siwajui mimi KakaKiiza!nakutakia kila laheri mimi yangu ni hayo!Mwisho namuomba Jembe langu lije limwage material hapa lara 1
alafu frankclemence ni mkali sana
Nyie mnaojidanganta bana papuchi upendwe..... mwanaume anahitaji papuchi kukaa na wewe bila hicho haiwezekani
yah u are right, it just depends on where u want to head
uwiiiii ya kweli hayo??? sijui nyie mnakutana na wanaume wa sampuli gani, but for me, marafiki zangu wa kiume are different kwa kweli. rafiki ni rafiki kweli na hawezi ku cross the line
kwa umri huo unaohitaji wote kama si wengi watakuwa ni waume za watu ,je wewe umeolewa ?mume wako analijua hili la kutafuta marafiki?by the way all the best kwani binafsi siamini kama mke wangu atanielewa kuwa eti rafiki wa kubadilisha mawazo duuu ,
Mkuu miss chagga umenivunja mbavu!! Mwambie huyo rafiki yako pengine ni mtoto mdogo ndo amevunja ungo juzi!! Chezea wanaume wewe, labda kama ana sura kama kinyago cha kuchongwa na Mgogo!! Vinginevyo papuchi ni halali yetu!! Mimi nimempa uzoefu wangu niliishia huko huko tena yeye mwenyewe anasema nakuonjesha mara moja tu hatutarudia tena!! Tabiri, kwani ilishia hiyo siku moja? Pengine labda na mwenzangu kitu kilimnogea!!nina marafiki lakini mwanaume at the en of the day atataka papuchi tu my dear labda kama si lijali..... take my words mwanaume atazunguka na wewe miaka hata kumi mwisho wa siku anawaza lini anafunua chupi yako