queeny
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 584
- 421
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma, mahusiano etc. awe above 30 na asiwe mwanafunzi wa chuo. lengo langu hasa ni kushare life experiences ndo maana nahitaji mtu anayejitambua.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.