Natafuta Rafiki

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
947
547
Naishi Tanga Jina kamili Abdulqadir Hassan nina miaka 21
nahitaji rafiki Jinsia zote.

Vigezo;-
1.awe mwenye akili ya kushauriana kwenye mazuri
2.asiwe mshari na awe mcheshi yan kutaniana wakati nwengine, asiwe sirias kupitiliza
3.Asiwe wa majivuno kupitiliza
4.miaka 18+.

kama uko ready ukam PM
 
Naishi Tanga Jina kamili Abdulqadir Hassan nina miaka 21
nahitaji rafiki Jinsia zote.

Vigezo;-
1.awe mwenye akili ya kushauriana kwenye mazuri
2.asiwe mshari na awe mcheshi yan kutaniana wakati nwengine, asiwe sirias kupitiliza
3.Asiwe wa majivuno kupitiliza
4.miaka
kama uko readyam PM
Njoo pm
 
Kwa nn ujifichefiche? Nenda straight kuwa unataka demu ila kuzunguka ndo kunakuponza. Age izo ni wazi domo gundi na libido za kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom