Natafuta rafiki wa kweli

Natafuta rafiki wa kweli

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,501
natafuta rafiki wa kweli
jinsia awe mwa kike
miaka 30-50
awe anaishi dsm
awe mpenda out ajue viwanja awe ananitembeza ila tu asiniuze maana wanawake sisi? sitaki kudalaliwa
awe na kipato asinifanye buzi lake maana wamama sisi tunapenda kuchuna wenzetu kinafiki tukitoka kila mtu atalipia bill yake.
ukitaka tutaishi wote kama una mtoto asizidi mmoja .
dini yoyote isipokuwa mlokole ,msabato au shahidi wa jehova
usiwe mlevi au na cv mbaya mjini
njoo pm
 
Kama utakuwa msupa lazima huyo mwenzio atakuwa migration officer wako tu
 
natafuta rafiki wa kweli
jinsia awe mwa kike
miaka 30-50
awe anaishi dsm
awe mpenda out ajue viwanja awe ananitembeza ila tu asiniuze maana wanawake sisi? sitaki kudalaliwa
awe na kipato asinifanye buzi lake maana wamama sisi tunapenda kuchuna wenzetu kinafiki tukitoka kila mtu atalipia bill yake.
ukitaka tutaishi wote kama una mtoto asizidi mmoja .
dini yoyote isipokuwa mlokole ,msabato au shahidi wa jehova
usiwe mlevi au na cv mbaya mjini
njoo pm
Hizo sifa ulizotaja ndo za rafk wa kweli? Sidhan.
 
natafuta rafiki wa kweli
jinsia awe mwa kike
miaka 30-50
awe anaishi dsm
awe mpenda out ajue viwanja awe ananitembeza ila tu asiniuze maana wanawake sisi? sitaki kudalaliwa
awe na kipato asinifanye buzi lake maana wamama sisi tunapenda kuchuna wenzetu kinafiki tukitoka kila mtu atalipia bill yake.
ukitaka tutaishi wote kama una mtoto asizidi mmoja .
dini yoyote isipokuwa mlokole ,msabato au shahidi wa jehova
usiwe mlevi au na cv mbaya mjini
njoo pm
Wewe miss natafuta sio mwanamke ni mwanaume kabisa, hutaki nitoe ushaidi hapa nikuumbue. Sasa hapo huko katika uhalisia wako unatafuta mke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom