island in the stream
Member
- Jul 4, 2015
- 11
- 0
mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rfk wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia diploma hadi phd, mwenye nia anitafute: stream2island@gmail.com

wa kawaida au wa kima [enzi
Mona mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Jielezee nawewe ulivo
Nipo hapa
nahitaji rfk, mapenz yatakuwa matokeo ya urafiki nk
mimi nataka tuanze na mapenzi urafiki utafuata tukizoena... kama upo serious njoo inbox

Am 29...na bachelor ila sifa zingne ninazo..
Mm ninasifa zote msomi wa phd nchni humburg universty of cambridge nchni uholanzi...
hahahaha!