Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Joined
Jul 4, 2015
Posts
11
Reaction score
0
Mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rafiki wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia Diploma hadi PHD, mwenye nia.

Anitafute: stream2island@gmail.com
 
mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rfk wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia diploma hadi phd, mwenye nia anitafute: stream2island@gmail.com

Mimi nna thifa dhote dha kuwa na wewe...
Nna 35 yrs
Elimu yangu PHD
ni mwajiriwa wa kampuni binafsi
dini mkristo...ila tatizo nimekosa thifa moja tu.."thijitambui.."
 
Mm ninasifa zote msomi wa phd nchni humburg universty of cambridge nchni uholanzi...

kiongozi hicho chuo hakipo duniani... hamburg-Germany, Cambridge -UK, halafu nchini uholanzi?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom