Ili baadae iweje sasa,je wakubali kua rafiki wa tatu??Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Awe anapatikana wilaya ganiUmri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Should be well attached...bank statement included...
Unatafuta mfadhili au rafiki?😀Awe muajiriwa
unapigwa na kitu kizito hapo kwenye "awe muajiriwa"
vyote ninavyo isipokuwa ajira, nimejiajiri. Ni afisa ubashiri wa kujitegemea.Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Karibu pm,Niko hapa rafiki yakoUkipata nipunguzie...🐒