Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Mrembo by Nature mi mwenyewe nimeamua nikimbie tu uwanjani kwetuHahahahahaha yaniiiii mie thimooo nachumiaa langu tumbo, huo muda wa kubishana si heri nikafanye mazoezzi nipunguze nyama uzembe
yule mbulula unaachana nae ukibishana nae utaonekana chizi......
ndo maana nimemwachia jukwaa aendelee kutukana akimaliza moja kwa
moja leba akajifungue mapacha wake
unakumbuka lile varangati langu? Nahisi ni huyohuyo amekuja kivingine! Maana wanafanana kuanzia kutukana hadi kuanzisha thread baada ya ugomvi.
yule nimekaa kimya kaanza kunichokoa sasa i will deal with him accordingly
Mrembo by Nature mi mwenyewe nimeamua nikimbie tu uwanjani kwetu
nipunguze unene niachane nae tu!!!!!!
yule mbulula unaachana nae ukibishana nae utaonekana chizi......
ndo maana nimemwachia jukwaa aendelee kutukana akimaliza moja kwa
moja leba akajifungue mapacha wake
umeona eeeeeh, hawa wanapata mihela sisi tunatukanana acha kabisa
Mmmh maana ya love duh kikweli Napata kigugumizi sijui nianzeje walah kuelezamaana ya love ngoja tumuulize Lady doctorNimerudisha mkia wangu nyuma.....eti hivi maana ya love ni nini...ujue huyu dogo ameuliza swali?