Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
nna vigezo vyote kasoro sura...nna pua ya baba[emoji85] [emoji23] [emoji23]Habar natafuta rafiki wa kike , mwenye weusi wa asili , wa kuvutia ,mwembamba na mzuri wa sura mengine tutawekana sawa mbele ya safar.
Fursa Mamy Mungu kajibu maombiYaani nikahisi anaongea na mimi directly!!!
Hahaha!Fursa Mamy Mungu kajibu maombi
Mbele ya safari......[emoji45] [emoji45]Habar natafuta rafiki wa kike , mwenye weusi wa asili , wa kuvutia ,mwembamba na mzuri wa sura mengine tutawekana sawa mbele ya safar.
Wewe jamaa msaka tonge tu sasa issue kama pua mtarekebishana vp, au ndio utamfanyia upasuaji kama Michael J?Ndo maana nimesema, mengne tutawekana sawa mbele ya safar .
Utamvutia tunna vigezo vyote kasoro sura...nna pua ya baba[emoji85] [emoji23] [emoji23]
sitokuvutia