Natafuta rafiki wa kike

Clan2626

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
355
Reaction score
312
Habar natafuta rafiki wa kike , mwenye weusi wa asili , wa kuvutia ,mwembamba na mzuri wa sura mengine tutawekana sawa mbele ya safar.
 
Mmmmh kutafuta mwanamke jf duh kujitafutia matatizo huku
 
Ukimpata ntumie picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima nikutumie ili uone kama yaliyomo yamo au lah?
 
Mmmmh kutafuta mwanamke jf duh kujitafutia matatizo huku
uwe na iman utapata tu mdau , wala haina haja ya kuwaza hilo na ntamtambulisha ili uone ka nimepata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…