mimi pia mlokole sinywi hata chai huto[pata hata hasara ya sukari...mizinga ni kunipa hela ndogondogo mara kwa mara salooni ...pocket money ..shopping ...etcmizinga ndo nini? Pombe kali? Au wine? Mimi binafsi sinywi pombe.
safi napenda sana watoto wa kiume....ni rahisi kuishi nao
watu wana id nyingi humu kumbuka...jamani hakuna hata moja kati yenu aliye serious. Sana sana nimepata pm 2 na email 2 ila si kati yenu nyie watatu. Fungukeni basi.
Smile hilo si tatizo. Ila mpango mzima ni kumfanya huyu mwenzi awe mjasiliamali na hivyo kujijengea uwezo wa yeye kujitegemea ili kuepuka mapenzi ya material things. Issue ni kuwa akishakuwa na uwezo wa kumudu mahitaji yake, mapenzi bado yatakuwepo?mimi pia mlokole sinywi hata chai huto[pata hata hasara ya sukari...mizinga ni kunipa hela ndogondogo mara kwa mara salooni ...pocket money ..shopping ...etc
mimi pm yangu mbovu mimi vigezo vyote ninavyo ni wewe tu ...asante sana. Lakini hujafunguka bado. Jieleze basi. Njoo chemba kwenye pm au jieleze hapa. Ningependa kukusikia unakidhi vipi vigezo 1 hadi 7 na kama una maswali zaidi.
watu wana id nyingi humu kumbuka...
tuma picha basiShida si ID bali Vigezo ndivyo vitakavyoamua of course plus "The Chemistry"
tuma picha basi
ahahaaa acha kunitega ..wewe ni pmPicha na mengineyo vitapatikana baada ya mawasiliano ya kimsingi. Ila kwa kifupi 100% Satisfaction guaranteed. You will never be disapointed.
ahahaaa acha kunitega ..wewe ni pm
ila no 7 siwezi tunaishia no 6 hapo...
Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana
kudekezwa na kubembelezwa?No. 7 huwezi? #7 inasema:
Sasa wewe what are you looking at? Hit and run?
kudekezwa na kubembelezwa?
mambo mengine yatajiset automatically bwana wewe fanya nilivokuambia bwana...Hilo lipo kwenye #6. Ina maana hutaki mahusiano ya muda mrefu kama itatokea tumepatana?
mambo mengine yatajiset automatically bwana wewe fanya nilivokuambia bwana...
MadameX you are not serious. Kwanza hakuna Mstari No. 8.
Kama dondoo namba 6 na 7 inakuacha, hakika sina cha kukusaidia. Kila la heri.