natafuta rafiki wa kike wa hapahapa Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta rafiki wa kike wa hapahapa Dar es Salaam

Discussion in 'Love Connect' started by Van perfect, Apr 16, 2012.

 1. V

  Van perfect Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama title inavyoonyesha,natafuta girlfriend mwenye vigezo vifuatavyo;
  Asiwe mrefu wala mfupi,size ya kati
  awe mweupe
  mwembamba ila sio saanaa,ila awe na shape. yaani kuanzia mgongo,chuchu ndogo,saa 6
  miguu mizuri
  kabila lolote
  umri 20-25
  asiwe sista duu
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  ninge ku pm ila nakutafakari ngoja nimalize kusuka nywele kwanza.
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  nenda kalibandike pale posta kiongozi uonyeshe mahali pakwenda kuwapimia ili kupata mwenye vigezo vyako. millen magessa aliwapimia the former Movenpeak sijui wewe wapi.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  mabata madogo dogo yanaogeleaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weupe ondoa hapo utauziwa mbuzi kwenye gunia,ila kama kuna mdada mwenye vigezo hvyo ulivyataja sidhani kama yupo thingo!!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,765
  Trophy Points: 280
  Mpm Kongosho. Atakufaa sana.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Siumuumbe mwenyewe!
   
 8. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ovyoooooooooooooo??????????????

  Mwenzio yuko serious wewe unaleta masihara ya kipuuzi............ Kwani wewe huyo uliye naye ulimuumba? Na kama uliuziwa mbuzi kwenye gunia, unataka na wenzio waingizwe mjini?
  Usife moyo, you have all the ladies in the world, only choose and pick whoever you want.
   
 9. J

  J2man1992 Member

  #9
  Aug 2, 2013
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madame wee ndo ni hyoo?
   
 10. jaqfantasy212

  jaqfantasy212 JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2013
  Joined: Dec 17, 2012
  Messages: 549
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hahaaaa!!
   
Loading...